Ticker

6/recent/ticker-posts

CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Shinyanga
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 dhidi ya Mabula Nkwabi Julius wa ACT Wazalendo aliyepata kura 3,588.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments