Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Chama Aibuka na Kutoa Ufafanuzi Kuhusu Kuwaita Simba Makolo


Kiungo wa zamani wa Simba kwa sasa Akiitumikia klabu ya RS Berkane #ClatousChotaChama ametoa ufafanuzi kuhusu matumizi yake ya neno #Makolo ambao watu haswa mashabiki wengi wa simbabwamemtafsiri vibaya.

Akijibu moja ya comment katika mtandao wa instagram Chama ameeleza kuwa Neno 'Makolo' kwa lugha yao ni neno la heshima ni sawa na kumuita mtu mjomba na sio kama watu walivyotafsiri.-Ameeleza, hakumaanisha kuikejeli Klabu yake ya Zamani Simba SC, hawezi kuikejeli Simba akauliza “Kwani nilipokuwa Simba niliwahi kuzikejeli timu zangu za zamani?!”
#ClatousChama.

Neno #Makolo hivi karibuni limekua likitumiwa na mashabiki wa Yanga haswa na msemaji wa klabu hiyo @hajismanara kama jina la utani la klabu ya Simba.

Tembelea YouTube channel yetu ya Middle Simba kwa taarifa nyingi zaidi.

#WeAreEveryWhere

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments