Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Diamond, Focalistic, Burna boy na Fally Ipupa kipengele kimoja, Best live act
Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA, AFRIMA, SOUNDCITY, MTV, MTV BAS BET na nyinginezo nyingi.Siku ya jana zilitangazwa rasmi tuzo za AFRIMMA 2021 ambapo vimetolewa Kipengele vingi sana na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuw awakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Katika kipengele ambacho Diamond Platnumz yupo pia ni kile cha Best Live Act akichuana na Burna boy, Fally Ipupa, Yemi Alade,  Sauti Sol,na Mr Flavour.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments