Ticker

6/recent/ticker-posts


 

DIAMOND Platnumz Anunua Saa ya Milion 69

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREStar Wa Muziki Barani Afrika SIMBA 🦁 @diamondplatnumz Anunua Saa Aina Ya #Rolex Yenye Thamani Ya $30K (TSH.MILIONI 69)

#SIMBA Amemwaga Mamilioni Ya Fedha Kwenye Saa Hiyo Ambayo Mastaa Wengi Wa Dunia Upendelea Kuvaa Kama Vile #JAYZ #Drake (@champagnepapi ) @kanyewest @justinbieber Na wengine

Akiwa katika Tour yake nchini Marekani πŸ‡ΊπŸ‡Έ @diamondplatnumz ame share Katika Insta Story yake Video Clips zikionesha akinunua Saa Hii aina ya ROLEX

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments