Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Diamond, Wizkid, Burna boy na Fally Ipupa kipengele kimoja, msanii bora wa mwaka
Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA, AFRIMA, SOUNDCITY, MTV, MTV BAS BET  na nyinginezo nyingi.Siku ya jana zilitangazwa rasmi tuzo za AFRIMMA 2021 ambapo vimetolewa Kipengele vingi sana na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuw awakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Katika kipengele kikubwa kabisa kwa bara la Afrika ni msanii bora wa mwaka na katika kipengele hiki yupo staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz pekee yake akishindana na baadhi ya mastaa wengine kutoka Nigeria kama Wizkid, Burna boy, Fally Ipupa kutoka Congo, Aya Nakamura wa Mali, El Grande Toto wa Morocco, Dadju wa Congo na Tay C kutoka Cameroon

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments