Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Director Kenny kuiwakilisha Tanzania tuzo za AFRIMMA
Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA, AFRIMA, SOUNDCITY, MTV, MTV BAS BET na nyinginezo nyingi.Siku ya jana zilitangazwa rasmi tuzo za AFRIMMA 2021 ambapo vimetolewa Kipengele vingi sana na miongoni mwa vipengele ambavyo watu walikuw awakivisubiria sana na vile ambavyo wataonekana au watawekwa wasanii kutoka Tanzania.

Katika kipengele ambacho yupo mmoja ya waongozaji video Tanznaia Director ni Director Kenny ambaye yupo Zoom Production inagawa kuna tetesi kuwa hayupo tena katika kampuni hiyo ambayo ipo chini ya Diamond Platnumz.


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments