Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Dozi Nyingine 576,558 za Chanjo ya Corona Zatua Nchini Kutoka ChinaSERIKALI ya Tanzania imepokea dozi nyingine 576,558 za chanjo dhidi ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka China.


Dozi hizi zimeletwa nchini chini ya mpango wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uitwao Covax Facility na ni sehemu ya Dozi 1,065,600 ambapo Dozi nyingine 489,042 zitakuja.


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments