Ticker

6/recent/ticker-posts

Eminem Ndiye Rapper BORA Kuwahi Kutokea, Kikwazo ni Rangi

 

Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), hata uweke big na 2pac bado sana.


Kwangu mimi hali ni tofauti, huwa sijali rangi, nachojali ni lyrics, delivery, word play, nk, na hapa ndipo napojua hakuna msanii wa kumfikia eminem kukitendea miujiza kipaza sauti na kutumia kalamu vizuri kuandaa mlyrics amazing.


Sote tunajua hip hop
ilitengenezwa na kuchochewa na watu weusi, na hapa ndipo kuna baadhi ya watu wenye hii asili wanakuwa wagumu mno kukubali uhalisia kwamba Eminem ni mzungu na anafanya poa zaidi ya rappers weusi, hisia zinatumika kupinga badala ya kutumia akili kukubali ukweli.


Laiti Eminem angekuwa ni mweusi, basi ni wazi kabisa eminem angechukua ni Michael Jackson wa Hip hop


Ukija huku kwenye mitindo huru frreestyles na cyphers, ni mnyama .


Waliowahi kuingia 18 zake wengi walipotezwa, pengine cheo sahihi cha kumpa Eminem ni "Un-beefwithable"

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments