Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Esha Buheti amjibu Alikiba, Bora nibaki dada yako na sio shabiki, naambiwa najipendekeza kwakoKupitia Instagram yake ameandika kuwa “MDOGOANGU SINA TATIZO NA WW KABISA NA WALA USIOMBE MSAMAHA😪😪😪MIMI NIMEONA NIPUMZIKE TUUU NA NLISHASEMA NAKUPENDA SANA SIWEZI KUKUCHUKIA KUA NA AMANI ALI🙏🏽🙏🏽🙏🏽UKUBWA JALALA NAYAPOKEA YOTE🙏🏽🙏🏽🏃‍♀️🏃‍♀️NIMEAMUA NIKAE PEMBENI MANENO YAMEZIDI HATA MARA MWISHO NILIKUTUMIA MSG NIKAKWAMBIA ALI NIMECHOKA NA MANENO YA WATU NA MATUSI MARA NAJIPENDEKEZA MARA SIJUI ALI HAKUSAPOTI MAMBO NI MENGI SANA SO ACHA NIBAKIE KUA DADA YAKO KAMA USEMAVYO NA NISIWE SHABIKIAKO🙏🏽🙏🏽🙏🏽”

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments