Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Faiza Ally Atoa Mpya "Zamaradi HAJANISHINDA Fedha Mimi Mpambanaji"Mwanadada FAIZA ALLY Amefunguka Mambo Mengi Kuhusu Issue Inayoendelea Kati yake na Zamaradi Pia Amesema Hapendi Kabisa Kulinganishwa na Zamaradi kwenye Sekta ya Kiuchumi Zaidi.

"Mimi na #zamaradimketema nilishamalizana nae na mnaosema mimi nina muonea wivu mnakosea yeye anawanaume wanamlea mimi ni single mother najihudumia kila kitu pamoja na watoto wangu"- ( iamfaizaally)

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments