Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Gigy Money "Ali Kiba Ameanza Kutokuwa na Heshima, Kipaji Bila Heshima ni Sawa na Baraka the Prince"


Baada Ya Sakata La Shilole Na Alikiba Kuibua Mambo Mengi, Hatimaye Msanii Gigy Money Atia Neno Pia Kuhusu Alikiba. Msanii Gigy Money Adai Alikiba Kukosa Nidhamu Licha Ya Kuwa Na Kipaji Kikubwa Sana lakini bila kuwa na Heshima ni Sawa na Baraka the Prince ambae ana Kipaji Kikubwa lakini kakosa heshima 

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments