Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Grammy Watambua Mchango wa Sauti Sol
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, kundi maarufu la muziki nchini Kenya, @sautisol 🇰🇪 wamethibitisha kupokea Cheti cha Utambuzi (Certificate of Recognition) kutoka kwa waandaaji wa tuzo maarufu Duniani za #Grammy kwa kuwa sehemu ya ushiriki kwenye kuandaa Albamu ya @burnaboygram #twiceastall

 

Albamu ya #twiceastall iliandika historia kwenye muziki wa Burna na Afrika kiujumla baada ya kufanikiwa kushinda #bestglobalmusicalbum mapema mwaka huu.

Sauti Sol wanatajwa kuwa walishiriki katika kutengeneza ngoma iitwayo #timeflies ya #BurnaBoy ambayo ipo kwenye albamu ya #twiceastall (Burna Boy Ft. Sauti Sol – Time Flies.

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments