Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Hamisa Mobetto Ndio Mwanamke Mwenye Mvuto Kuliko Wote Tanzania

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Hili suala halina ubishi, @hamisamobetto ndio mwanamke pekee anayevutia kuliko wanawake wote kwasasa Tanzania.

Vijana na Watu wazima wengi Wanatamani kuwa na mahusiano na Hamisa, huu sio uongo hata kidogo bali ni ukweli mtupu @hamisamobetto ananyota ya kupendwa.

Mbali na Uzuri wake wa sura, Hamisa anaumbo moja matata sana, unaweza kumwaga udenda ukikutana nae kwa karibu, kiukweli hamisa kwasasa kaikamata Tanzania.

Kuna watu wanasema Hamisa anang'aa tu Instagram, ila nakuhakikishia hata ukimuona live, Hamisa sio wa mchezo mchezo, Muulizeni @adammchomvu udenda ulimjaa siku ile alipombambia Studio.

Mbali na kuvutia kimahusiano, Hamisa anamvuto wa kibiashara, Imagine Jezi za Simba ziliisha mapema sana baada ya kuona Hamisa kavaa kapendeza.

Hamisa anapata deals nyingi sana kwasababu ya Umaarufu na Muonekano wake wa kuvutia, Rickross anaelewa hili.

Wasichana wengi sana Tanzania wanatamani kuwa kama Hamisa Mobetto, hili halina Ubishi, katika wasichana 10 basi 8 Wanavutiwa na Hamisa.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments