Ticker

6/recent/ticker-posts

Harmonize Afunguka Haya Baada ya Rekodi Lebo yake Kutimiza Miaka Miwili


Ujumbe wa Mwanamuziki na mmiliki wa Record label ya @kondegang /KondeMusicWorldwide @harmonize_tz baada ya label hiyo kutimiza miaka miwili tangu kuanzishwa kwake.

Mpaka sasa record label hiyo ina jumla ya wasanii 6, ukimjumuisha na @harmonize_tz mwenyewe ,ambapo kila mmoja tayari ana kazi iliyotoka chini ya usimamiz wa record label hiyo.Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments