Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize aikubali album ya Alikiba, aandika maneno hayaKupitia ukurasa wake wa Instagram @harmonize_tz amepost picha ya cover ya @officialalikiba Insta story na kuandika BIG TUNES akiweka emoji ya kifalme.@harmonize_tz yupo Marekani kwa sasa kwenye tuor yake na @officialalikiba ameizindua na kuiachia album yake usiku wa kuamkia leo.

Weka comment yako hapa chini.

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments