Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Harmonize Aipigia Salute Album ya Ali Kiba


Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize CEO wa KondeGang worldwide ameonesha wazi kile ambacho kila siku mashabiki wanakiomba kati ya wasanii (upendo) kwa ku-post cover ya Album ya Alikiba Only One King kupitia Instastory yake.

Harmonize amepost cover ya Album hiyo na kuambatanisha na maneno haya "Big Tune", Album ya Alikiba Only One King imetoka leo October 07,2021 na inapatikana kwenye Digital Platforms zote za kusambaza muziki ulimwenguni


 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments