Hasara Kubwa za Filamu za Bongo Movies Katika Jamii ya Kitanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Katika vitu vikubwa anavyoshukuru Barakahtheprince_ ni kuumbwa na rangi yake ambayo mara nyingi imekuwa ikibezwa na wengi akiwemo Stanbakora_ , Barakah amedai hawezi jichubua maana anapendwa akiwa na ngozi hiyo na pia wanaume weusi ni wachache dunia hii, inabidi kuwa proud na hilo.

Kingine Barakah amedai EP yake ambayo ilikuwa inatarajiwa iwe imetoke hadi muda huu, ameisogeza mbele maana aliona kuna muingiliano sana wa matukio hapa katikati lakini akiahidi kuitoa mwezi huu wa kumi na itakuwa EP kali haijawahi tokea.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad