Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Haya ni Majina Matatu ya KIUME Ambayo Yamebadilika Kuwa ya Kike


Haya ni majina ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na mtazamo na sasa yanaonekana kama majina ya kike, hii inatokana na wanawake maarufu kuyatumia majina hayo kama majina yao ya kazi.

1. Uwoya: Chanzo Irene Uwoya..

2. Sepetu : Chanzo Wema Sepetu

3. Mobetto : Chanzo Hamissa Mobetto.

Imagine mwanaume uitwe Paul Mobetto, yani haliendi kabisa, Jackson Uwoya, Peter Mobetto, John Sepetu

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments