Huyu Ndio Kijana Aliyeitwa Nyani Sasa hivi ni Staa Mkubwa Huko Kwao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


“Mungu Sio Mzee Mkumba" miongoni mwa misemo maarufu ya kiswahili inayotumiwa kumshukuru Mwenyez Mungu kwa jambo ambalo lilionekana kutowezekana -kuwezekana.
Ni Takribani miezi nane iliyopita, haditi ya mvulana #Nsanzimana Elie mwenye umri wa miaka 21, kutoka kusini mwa Rwanda ilipeperushwa na kituo cha Afrimax, na kusambaa karibu Dunia nzima.


Nsanzimana Elie kijana aliyekuwa akiishi msituni na kutokana na muonekano wa sura yake, alikuwa akitaniwa na watu wa kijiji chake wakimuita nyani ama sokwe, lakini baada ya hadithi yake kuchapishwa Februari, aligonga vichwa vya habari na kuwavutia wasamaria wema wengi , maisha yake game change.

Misha ya Elie sasa yamebadilika baada ya kupokea misaada kutoka kwa wasamaria wema, kwa kujengewa nyumba mpya na kusihi sehemu nzuri,
Kwa sasa anatajwa kama mtu maarufu /staa ,na huvalia suti za gharama kwelikweli huku akiwa na mashabiki wengi, yaani kila anapoonekana tu barabarani, kila mtu anataka kupiga picha naye.



Katika moja ya mahojiano, mama yake Elie alisema mvulana huyo alikuwa jibu la maombi yake baada ya kukata tamaa kuwa hawezi tena kupata watoto baada ya kupoteza watoto wake wa 5, na mtoto wake huyu hakuwa na uwezo wa kuzungumza na alikuwa na ugumu wa kusoma
→Elie Alipelekwa shuleni kufunzwa jinsi ya kuishi na watu baada ya miaka mingi ya kuishi msituni.

Ama kwa Hakika Mungu si Mzee Mkumba"


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad