Ticker

6/recent/ticker-posts

Idris Sultan "Ali Kiba Hatabiriki Alikuwa Ananiuzi Kutoa NYIMBO Moja Moja, Kesho Unaweza Sikia Anaoa Mke wa Saba"

 


Ni utani wa mchekeshaji Idris Sultan kwa msanii Alikiba baada ya kusema alikuwa anakera tabia yake ya kuachia ngoma moja kwa kipindi cha muda mrefu, pia amesema msanii huyo haeleweki na wala huwezi mtabiria kwani anaweza akasema kesho anataka kuoa mke wa saba....

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments