Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameapishwa kuongoza kwa muhula wa pili
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameapishwa kuongoza kwa muhula wa pili, baada ya chama chake kushinda uchaguzi uliofanyika mwezi Juni mwaka huu.

Abiy ameapiswa kushika wadhida huo huku Serikali yake ikiendelea kushutumiwa kutokana na hatua yake ya kuwafukuza kutoka nchini Ethiopia maafisa Saba wa mashirika ya kimataifa ya misaada ambao walikuwa wakitoa huduma katika jimbo la Tigray ambalo limeathirika kutokana na mapigano kati ya Wanajeshi wa Serikali na wapiganaji wa jimbo hilo.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments