Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoanza leo dhidi ya Benin

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania,  Taifa Stars ambacho kitaanza leo katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia, Qatar 2022.
Huu ni mchezo wa pili dhidi ya Benin baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao kusoma Tanzania 0-1 Benin hivyo leo kuna kazi ya kupindua meza kibabe

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments