4/06/2022

Kim, Kanye Wanaswa Tena live

JIUNGE NA GROUP LA TELEGRAM LA AJIRA YAKO KUPATA AJIRA MPYA ZINAZOTANGAZWA KILA SIKU BONYEZA HAPAKIM Kardashian na Kanye West wamerudiana? Hilo ndilo swali linaloendelea kuumiza vichwa vya wapenzi wa habari za mastaa baada ya wawili hao kunaswa wakiwa pamoja.

Inaeleweka kuwa Kim na Kanye waliachana miezi michache iliyopita lakini hii ya kuonekana wakiwa wametoka kupata chakula cha usiku katika moja ya migahawa maarufu mjini Malibu, Marekani.

Hata baada ya kupata msosi, walipanda gari moja na kutokomea wakiwa na marafiki zao, jambo lililoacha minong’ono kuwa wamerudiana.

Kuachana kwao ilikuwa habari kubwa mwanzoni mwa mwaka huu, ikikumbukwa kuwa waliishi kwenye ndoa yao kwa miaka saba.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger