Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Kocha wa Yanga "Baada ya Mwezi Mmoja Yanga Itaimarika Asilimia 100"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Baada Ya Mchezo Wa ligi kuu Jana Kati Ya Yanga sc dhidi ya Azam Fc, Kocha wa Klabu ya Yanga, Nasreddine Nabi amesema bado mwezi mmoja ili kile alichoahidi kitimie.

“Naipongeza Yanga sc na (GSM) kwa kufanya usajili mzuri, pia naipongeza timu ya wataalamu wa viungo
Wamenisaidia kuiweka timu fiti sana na leo(Jana) watu wamejionea wenyewe”

“Yanga imeimarika kwa asilimia 45% hadi 50% hapo unapoiona, ila baada ya mwezi mmoja itakuwa 100%,”
-:Nasreddine Nabi kocha wa Yanga.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments