Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kumekucha Huko..Pole Pole Aipinga Serikali "Kinachofanyika ni Kinyume, na sio Sawa kwa Wamachinga"


Kutokana na sakata linaloendelea la wamachinga kuhamishwa kwenye maeneo ambayo sio Rasmi na kupelekwa kwenye maeneo Rasmi ya kufanyia biashara zao mbunge @hpolepole amesema kinachafanyika ni kinyume na utaratibu.

"Mhe.Rais wa Jamhuri ya muungano wa tanzania Samia Suluhu Hassan alisema hawa watu wapangeni, wawekeeni utaratibu msiwabuguzi au kuwaonea, lakini nikitizama kinachofanyika ni kinyume, na sio sawa kwa wamachinga"@hpolepole

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments