Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Manara Atubu Kwa Diamond Platnumz "Wewe Ndio Alfa na Umega"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


''Kuna wakati nasema sisi Watanzania hupenda kujifanyia wenyew tu roho mbaya aisee.. Huwa nawasikia Watu wanasema eti Nassib kuimba hajui ila yy ni Mburudishaji zaidi,kisa Show zake zinakuwa na Vibe kubwa.

Yes kiwango cha kuburudisha cha Nassib kama unakikubali kisha ukahoji uwezo wake wa kuimba Wallah ww ni kubwa la Mazuzu.

Guys nimeweka kipande kidogo tu cha Msanii huyo maarufu zaidi kuwahi kuzaliwa Bongo ,halaf nione tunapata wapi hyo nguvu ya kulinganisha na wengine.

Hebu tuacheni fikra za kutaka kumshusha Mja aliyepewa na Mungu.... ,huyu ni Star wa muda wote Tanzania,,,utake ndio hvyo na usipotaka ndio hivyo.

Na kwa sasa yy ni Alfa na Omega ktk Sanaa hii ya bongo,,,kiufupi yy ndio Taa ya hii nchi kimuziki @diamondplatnumz '' @hajismanara

Nini Mtazamo Wako Kwenye Hichi Alichokiandika #Manara ???

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments