Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Marioo "Nilileta Amapiano Bongo na Sasa Nimefunga Koki na Bia Tamu, Haitawahi Tokea"
Msanii wa Bongo Flava, Marioo amedai aliwahi sema alileta amapiano nchini na atairudisha alikoitoa kabla ya kutoa Bia tamu. Na kwasasa Bia tamu ndio imeshafunga kazi hata kama kuna watu wataendelea kutoa Amapiano basi hazitavuka levo ambayo Bia Tamu ishafika.

Akifunguka kwenye Empire ya EFM, Marioo amedai kabla mwaka huu haujapinduka ana jambo kubwa ambalo atafanya ukiachia mbali suala la albamu aliyowahi kuahidi na hizi mambo za Nation Spotlight.

HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA


Kuhusu yeye na Mimi Mars,Marioo ameendelea kukanusha kuwa hakuna jambo lolote linaloendelea kati yao zaidi ya kuwa mabest Friend huku akionesha anachokiongea hamaanishi,kama kuna kitu hivi

Basi Sawa Toto bad yasije wakuta kama ya Tiwa Savage😁


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments