Ticker

6/recent/ticker-posts

Marioo Amkana Mimi Mars "Sio Mpenzi Wangu ni Mwalimu Wangu wa English"Msanii Wa Music wa Bongo Fleva Marioo Ameamua kuweka Mambo Sawa Kutokana Na Skendo inayoendelea Kwa Sasa Kwamba Yeye Na Mimi Mars Ni Wapenzi.

"Nimesikia Watu Wanasema Mimi Na Mwanamziki mwenzangu Mimi Mars Ni Wapenzi Ila Ngoja leo Niweke Mambo Sawa Tuuu Kama Mlikuwa Hamjui Mimi Mars Ni Mwalimu Wangu wa kunifundisha English/Kiingereza Tuuu Hamna Chochote Kinachoendelea Kati Yetu"-Ameongea Marioo

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments