Masha Love Kujipunguza Maziwa ni Kosa Kubwa Atakalojutia Milele

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muonekano wa Mashalove baada ya kupunguza matiti nchini uturuki.

Aisee Tuache kumkufuru mungu, mashalove ameona umbo alilopewa na mungu ni baya na akaamua kulipunguza, akijidanganya kwamba atakuwa vizuri, wakati hilo umbo la zamani ndilo mungu kamsaidia apate riziki na kujulikana kupitia umbo lake.

Kuiga vitu sio vizuri na ni ushamba, mashalove kamuona Munalove kaweka dimpoz bandia nayeye kaamua kupunguza matiti.

JE UNAONAJE, NI SAWA YEYE KUFANYA HIVO? MAANA MWILI WAKE NI MALI YAKE NA HAKUNA WA KUMPANGIA? AU ANGEBAKI TU NA MUONEKANO WA ZAMANI.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mimi naona sasa hivi ndio amependeza sana na amefanana na mwili wake

    ReplyDelete

Top Post Ad