Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mashabiki rukhsa uwanjani michezo ya CAF Tanzania

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika ‘CAF’ limeruhusu mashabiki kwenye michezo yake ya kombe la shirikisho Afrika na Ligi ya mabingwa barani humo kwa timu za Tanzania inayotaraji kuchezwa kuanzia Ijumaa ya leo Oktoba 15,2021. HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments