Ticker

6/recent/ticker-posts

Mashabiki Wachukizwa na Kauli ya Adele Kuwa Album ya Drake Ndio Bora DunianiBaada ya miaka 6 ya ukimya kwenye muziki, msanii tokea Uingereza @adele anatarajia kuachia albamu yake mwaka huu inayoitwa 30. Akiwa Insta Live hii leo (October 10) ameongelea mambo mengi lakini amekuja kuyatibua alipozungumzia kuwa kwake albamu bora ya mwaka 2021 ni albamu ya Drake “CERTIFIED LOVER BOY”

Wapo waliodai angejipa Subira maana bado kuna namba ya wasanii wavunja rekodi kama Kendrick Lamar wanatarajia kutoa Albamu mwaka huu,lakini pia kwa kauli hiyo ameonyesha wazi kuwa hamfagilii Kanye West jambo lililofanya Team West wamshambulie vikali muingereza huyo.

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments