Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Maskini Modewji Yamemfika Hapa Baada ya Simba Kufungwa "Hatua Kali Zichukuliwe"


Ameandika Haya Kupitia Mtandao wake wa Twitter:

"Very disappointing. @SimbaSCTanzania.
Kwakuwa nimejiuzulu, sina nafasi ya kutoa uamuzi wowote Simba. Ninachoweza ni kutoa ni ushauri kwa mwenyekiti na bodi kuchukua hatua kali kwa wale ambao wanawajibika kwa upotevu wa mechi ya leo. Hii haikubaliki" Mo Dewji

Download our blog’s APP from Google Playstore using the link here>>>

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments