Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Maskini..Maharage Yapelekea KIFO cha wanafamilia Mama na Watoto Wake Wawili

 


Mama na watoto wake wawili wakazi wa Kitongoji cha Nyambale, Kata ya Busanda mkoani Geita, wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kudaiwa kuvuta hewa ya ukaa iliyotokana na jiko la mkaa lililokuwa linapasha mboga ya maharage huku madirisha na milango vikiwa vimefungwa.

Mkuu wa wilaya ya Geita Wilson Shimo, amesikitishwa na tukio hilo huku akiwaomba wananchi kutotumia majiko kwenye nyumba za kulala ili kuepusha matukio hayo kujirudia.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments