Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Mradi wa Nyumba 1000 Dodoma ni Shilingi Bilioni 71

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
“Mradi huu mkubwa unaohusisha ujenzi wa nyumba za makazi 1000 katika Jiji la Dodoma utagharimu Shilingi bilioni 71 hadi kukamilika.

“Awamu ya kwanza yenye nyumba 404 itagharimu shilingi bilioni 21.4 na kazi kubwa ya ujenzi itakuwa imekalika ifikapo Desemba 2021.

“Wakurugenzi wa Halmashauri hususan halmashauri mpya tumieni Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Watumishi Housing ili waweze kuharakisha ujenzi wa nyumba bora za watumishi wa Halmashauri kwa gharama nafuu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua ujenzi wa nyumba 1000 jijini Dodoma chini ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), leo

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments