Ticker

6/recent/ticker-posts

Msanii Roma Atia Neno Album ya Ali Kiba "Kuna la Kujifunza Au Tusiwapangie Maisha"


Baada Ya Album @officialalikiba Kupokewa Vizuri Na Wadau Wa Muziki Kutoka Sehemu Mbalimbali Duniani. Msanii @roma_zimbabwe Aibuka Na Kuandika Ujumbe Maalum Kwa Wasanii Wanaoimba Bongo Fleva

Kupitia Ukurasa Wake Wa Twitter Roma Kaandika Ujumbe Uliosomeka Hivi 

✍“Album Nzima Ya Mwana, Miwa 16 Na Sijasikia Neno iingize, ipekeche, ifinyie Kwa Ndani, ilambe, ipepete, isugue, ichachafye, ikalie, imanulie, itekenye, isosomole, ipinde, ichomoe, ibinyebinye, imwagie, ikatikie

Artists Wa Kuimba Kuna Cha Kujifunza Hapa!! Au Nisiwapangie Maisha?”

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments