Ticker

6/recent/ticker-posts

Msemaji wa Yanga Haji Manara Kuwashitaki SIMBA Kwa Kumtumikisha Bila...


Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema anakwenda kuwashitaki Simba SC kwa kumtumikisha bila mkataba

"Naenda Mahakamani kuwadai fidia simba wamenitumikisha bila mkataba, na nataka iwe fundisho kwa Taasisi zote zinazoajiri watu na kuwatumikisha bila mikataba

Nitaenda mahakamani kudai haki yangu, nawadai Simba pesa nyingi, wamenitumikisha miaka zaidi ya 6,

Nimefanyiwa dhuruma, hawa sio binadamu na kwakweli mimi nina kifua Sijawahi kusema ila siku nikisema mtanielewa, kisa umaarufu eti mtu ananichukia"

Na iliwauma zaidi mimi kwenda Yanga, Walinifanyia mambo mengi mabaya, nitadai haki yangu, nimeaanda mawakili 10."

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments