Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mtoto wa Bondi Floyd Mayweather matata kwa kumchoma kisu EX wa mpenzi wake
Ni Kutokea nchini Marekani ambapo vyombo mbalimbali vya habari vimeripoti kuhusiana na taarifa ya Mtoto wa Bondi Floyd Mayweather aitwae Yaya kumchoma kisu Ex wa mpenzi wake.
Sakata hilo inaelezwa lilitokea mwezi April mwaka 2020 ambapo Yaya aliwasili nyumbani kwa mpenzi wake, Rapa NBA Youngboy  kisha kumkuta baby mama ambae ni EX wa NBA Youngboy aitwae Lapattra Lashai wakaingia kwenye vita ya maneno kupelekea kugombana na kumchoma kisu.

Inaelezwa Wivu 
wa mapenzi wamponza binti wa bondi Floyd Mayweather, Yaya Mayweather ambae taarifa zinasema kwamba huenda akafunwa hadi miaka 20 gerezani kwa kosa la kumchoma kisu Ex wa mpenzi wake, rapa NBA YoungBoy.

Hukumu yake itasomwa Februari 2022.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments