Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Muigizaji Maarufu Kutoka Nchini Marekani Alec Baldwin Amemuua Mtu Bila kukusudia Akiwa Location


Muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Alec Baldwin amemuua bila kukusudia Halyna Hutchins, ambae ni muongozaji wa picha mjongeo (Director Of Photography) na kumjeruhi Joel Sauza ambae ni Director wa Filamu ya “RUST” kwa kutumia bunduki iliyoaminika kuwa ni bandia.

Tukio hili limetokea New Mexico, Marekani walipokuwa kwenye eneo wakitengeneza (on set) filamu hiyo. Hadi sasa Polisi wanaendelea na Uchunguzi na hamna aliyekamatwa.

Alec Baldwin ameigiza kwenye filamu nyingi maarufu kama Concussion, The hunt for October, It’s Complicated.


 Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Post a Comment

0 Comments