Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Muna Love Ameamua Kufanya Operation ya Kutengeneza Lips za Mdomo


Urembo unazidi kuwa ghali mno huku kila mwanadada akifanya lolote ilimradi kupendeza. Hilo linathibitishwa na mwanadada msajiriamali Rose Alphonse maarufu @munalove100 ambaye yeye anazidi kuutengeneza mwili wake kwa kufanya upasuaji (surgery) mbalimbali.

Baada kufanya upasuaji sehemu ya shavuni na kuweka dimpozi, mara hii ameamua kutengeneza lips. Muna ame-share picha na video za tukio hilo kupitia ukurasa wake wa instagram.

@munalove100 ambaye amefanya upasuaji huo nchini Uturuki, hii inakuwa surgery yake ya TATU baada ya kufanya ya Dimpozi na kuweka nyusi. Hata hivyo anatarajia kufanya upasuaji (Surgery) zipatazo 8, ili kutimiza idadi ya surgery 11 ambazo aliahidi atafanya.

Na: @omaryramsey

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments