Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwijaku Aondolewe Simba Kabla Mambo Hayajaribika Zaidi


Timu kubwa kama Simba ambayo inafahamika dunia nzima haiwezi kuwa na watu kama hawa wasiojua kanuni za mpira

Huwezi kuwa na Mhamasishaji wa timu kama huyu ambaye hajui mpira, Hii timu ina wanachama na mashabiki wazito sana, kuanzia serikalini hadi kwenye vyama vya siasa, sasa kwa Mtembea uchi kama huyu kumpa kazi ndani ya Simba ni sawa na kutukana wana Simba .

Waliompa kazi hii wanamjua vizuri, wanajua pia tabia zake  Haiwezekani msemaji wa timu anaahidi eti timu ikifungwa atatembea uchi, huyu jamaa kazoea sana mambo ya mitandaoni. Ifike pahala usemaji wa timu wapewe watu makini na wenye weledi kama Nugaz, n.k. na sio hawa waropokaji, USEMAJI SIO UROPOKAJI.

By @hopetygatz

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments