Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Mwijaku "Tukifungwa Galaxy Mechi ya Marudiano Natembea uchi mpaka Kawe"


Muhamasishaji mpya wa klabu ya Simba, Mwemba Burton maarufu 'Mwijaku' amekula kiapo mbele ya waandishi wa habari kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy kuwa kama wakifungwa basi atatembea uchi.

"Tukifungwa natembea uchi mpaka Kawe" - Mwijaku, Muhamasishaji Simba.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments