Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Nay wa Mitego Achafukwa Vibaya "Ni Ujinga na Chuki Wasanii Kuchekana Nani Kajaza na Nani Hajajaza Show"
Ukipita mitaa flani ya YouTube na ukagusa pale kwenye trending basi utakuta wimbo wa @naytrueboytz Unaoitwa BABA upo no. 1 , Hivi karibuni Nay ameweza kuhimili hiki kitu huko YouTube ambapo kila akitoa jiwe basi lazima likae kwenye namba hiyo hapo.Hii leo Kwenye Empire ya EFM, Nay wa Mitego amegusia suala la hiki kinachoendelea watu kuchekana show za nje, Nani kajaza na nani hajajaza. Nay amedai show zinatofautiana,hata show za hapa nyumbani,kuna show itakubali na kuna show itagoma, kwahiyo kinachoendelea ni ujinga na ni chuki tu baina wasanii wenyewe,vitu kama hivi huwezi kuta wanaijeria wanachekana fulani hajajaza show na ni ngumu kuona muziki huu umesogea kwenye level tunazo ziota.

Follow @sajomedia kwa taarifa za burudani. Yembelea Youtube kwa taarifa zaidi.Link kwa bio🙏

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments