Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ndayiragije Atupiwa Virago Geita Gold
Klabu ya Geita Gold imetangaza kuachana na kocha wake mkuu Mrundi Etiene Ndayiragije kuanzia Oktoba 23, 2021.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, uamuzi huo umefikiwa baada ya kocha huyo kushindwa kufikia malengo waliyokubaliana. Kwa sasa timu hiyo itakuwa chini ya kocha Fredy Minziro.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments