4/23/2022

Niligundua Mpenzi Wangu ni Shoga Baada ya Kuchumbiana Kwa Miaka MbiliUnaweza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi,ilhali haufahamu tabia za mpenzi wako, kwani amekuwa akificha tabia zake.

Katika kila uhusiano ni vyema kufahamu mpenzi wako vyema, ili uhusiano wenu hudumu na uwe wa kupigiwa mfano na watu wengi.

Ndio kuna wale ambao hawajabahatika kuwa na wapenzi wazuri, huku asilimia kubwa ikilaumu jinsia zote mbili.

Kuna wale huvunjika moyo kutokana na mapenzi na kukata tamaa ya mapenzi maishani mwao.


Watu wengi wamefichua kuwa shoga na wasagaji katika ya sasa, ilhali kuna wale hawakubaliani na jamii hiyo.

Nikiwa kwenye ziara yangu, kipusa mmoja alinisimulia jinsi aligundua mpenzi wake ni shoga baada ya kuwa naye kwa miaka 2.

KUlingana na kipusa huyo mpenzi wake hakuwa anatekeleza haki ya kitandani ka iwezekanavyo.


Huu hapa usimulizi wake;
"Niiuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamume ama aliyekuwa mpenzi wangu kwa miaka 2, siku hizo zote sikujua wala kufahamu kwamba alikuwa shoga

Hakuwa anatekeleza haki ya kitandani, mpaka nilikuwa namuuliza kama ni mimi nani shida wakati huo, hakusumbuka kuniambia kwambani shoga bali nilimpata na mwanamume mwingine kitandani

Hapo ndipo aliamua kufichua kila kitu na kuniambia kwamba hakuwa na nguvu ya kuniambia kwamba yeye ni shoga

Nilishtuka kwa muda, hadi sijawahi amini kwamba nilikuwa na chumbiana na shoga, ndio kuwa shoga sio mbaya lakini angeniambia kwamba ni shoga."


STORI ZAIDI za AINA HII Download Udaku Spesho App HAPA

Ushauri wako kwa kipusa huyu ni upi, kwani bado ameshtuka kwa jambo hilo.

HABARI HIZI ZA UDAKU ZINAPATIKANA KATIKA APP YA UDAKU SPECIAL, IDOWNLOAD>> HAPA BURE 

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger