Nyota wa Uingereza David Beckham Alamba Dili Nono Qatar Kumbe la Dunia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nyota wa Uingereza David Beckham amesaini dili nono la Paundi milioni 150 ambazo ni zaidi ya TSh. Bilioni 475 kuwa uso wa kombe la dunia 2022 ambalo litafanyika nchini Qatar lakini pia kuwa balozi wa utalii wa taifa hilo.



Beckham atakuwa akikunja kiasi cha Paundi milioni 15 (TSh. BILIONI 47.5) kila mwaka kwenye dili hilo la miaka 10. Hata hivyo nyota huyo amepokea ukosoaji mkubwa toka kwa watu mbali mbali na wengi wakishinikiza aondolewe nafasi yake kwenye shirika la UNICEF kwa kukubali kuitangaza nchi ambayo ina ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBONA WAMEKUBALI KOMBE LA DUNIA KUCHEZEWA HUKO?? WANGEKATAA BASI. DAVID YUPO SAHIHI KABISA

    ReplyDelete

Top Post Ad