Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Penzi la Billnass, Nandy lakolea..Watimkia DUBAI

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREUnaweza kusema ni kama mahaba ya Rapper Billnass na mwimbaji Nandy yamezaliwa upya baada ya kufunga safari mpaka huko Dubai ambako wapo mapumzikoni na kufurahia maisha.

Wapenzi hao wa muda mrefu wameamua kwenda Dubai moja ya miji ya starehe Duniani na kutembelea maeneo mbalimbali kama Jangwani na kula bata licha ya kuwa hivi sasa wamebadilisha mtindo wao wa maisha kwa kuto weka hadharani mara kwa mara mahusiano yao.


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments