Ticker

6/recent/ticker-posts


 

Polisi "Wapenzi Msitumiane Picha za Utupu"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Jeshi la Polisi limewataka wasichana na wanawake kujitahadharisha na wapenzi au marafiki zao wanaowadanganya wajipige picha za utupu kisha wawatumie.

Taarifa ya jeshi hilo imeeleza kwamba baadhi ya wanawake waliowatumia wapenzi au marafiki zao picha hizo walianza kuwataka wasichana wawape fedha la sivyo watazisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

“Baadhi ya wakina dada wamejikuta katika matatizo ikiwa ni pamoja na msongo wa mawazo, kushindwa kufanya shughuli zao za kujiletea maendeleo na wengine kushindwa kufuata masomo darasani na kupelekea kushuka kiwango,” imeeleza taarifa hiyo

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments