Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rais Duterte Atangaza Kustaaafu Siasa
RAIS Rodrigo wa Ufilipino  Duterte (76) amesema anajiuzulu siasa na hatagombea katika uchauzi wa mwaka ujao, katiba ya nchi hiyo inawaruhusu marais kuhudumu muhula mmoja wa miaka sita pekee.

 

Lakini sasa anasema ameamua kujiondoa kwenye kwenye uchaguzi wa mwaka ujao kwani “hisia za Wafilipino wengi ni kwamba hafai kuongoza tena.

 

Hatua hii inakuja huku kukiwa na uvumi kwamba binti yake anaweza kugombea urais binti yake Duterte Sara Duterte-Carpio, ambaye kwa sasa ni meya wa mji wa kusini mwa nchi hiyo wa Davao.

 

Duterte, ambaye anaonekana kuwa mtata “mwenye nguvu “, aliingia madarakani mwaka 2016 ambapo aliahidi kupunguza uhalifu na kutatua mzozo wa madawa ya kulevya nchini humo.

 

Lakini wakosoaji wanasema katika kipindi cha miaka mitano akiwa mamlakani, Bw Duterte amewachochea polisi kufanya mauaji ya ukiukaji wa sheria ya washukiwa katika kile alichokiita “vita dhidi ya mihadarati ”

 Downlaod App ya BLOG Hii Kutoka Google Play Kwa Kubonyeza HAPA>>>

Post a Comment

0 Comments