Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

RC Makalla "Wamachinga Wakirudi Tulipowatoa Itamaanisha Kuwa Sitoshi Kwenye Nafasi Yangu"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewataka Watendaji wa Mitaa kulinda maeneo yao, kuhakikisha wamachinga waliohamishwa hawarudi tena maeneo hayo, wakikuta kibanda watajua watendaji wanahusika

Amesema wamachinga wakirudi maeneo waliyohamishwa itamaanisha yeye hatoshi kwenye nafasi yake. Amezitaka Taasisi, Shule na Mashirika kulinda maeneo yao wamachinga wasivamie

Amebainisha kuwa, kisheria mtu akifanya biashara kwenye hifadhi ya barabara faini ni Tsh. 300,000 au kifungo kisichozidi mwaka 1


 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments