Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ripoti Kutoka Chanzo cha Kuaminika Kocha Gomes wa Simba Kufurumushwa..Asababisha Mgawanyo Mkubwa wa Wachezaji


Ripoti kutoka chanzo cha kuaminika: Muda wowote kuanzia sasa Didier Gomes Da Rosa atasitishiwa mkataba na uongozi wa klabu, taarifa zinadai amesababisha mgawanyiko mkubwa wa wachezaji ndani ya kikosi cha Simba.

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments